xxx of yyy characters
Join Group

~Swahili Speakers~.

Google Translation: Off

When Google Translation is on, topics and messages in this group will be machine-translated to your language by Google.

Messages

Topic: WANAIROBI, WAKENYA, hamjui kiswahili
Duh jamani wenzetu wa nairobi na kenya mnatuaibisha sana sielewi kiswahili chenu mmekipata wapi, yani mnaongea broken sana hamjui kutamka kiswahili, pls mje tanzania tuwafundishee maana mnaaibisha mnaharibu sana kiswahili
May 30, 2007
12:07 AM

Posted by titi leonce

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

wee acha, Kisawhili tuna imezea poa sana. Ni vile tu yetu ya Nairobi ni different Kidogo. Hiyo yenu sasa ndio hatu ishiki. Nita kuja siku moja Bongo mni funze
Jun 7, 2007
1:05 AM

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

mimi napenda kuongea swahili lakini ninaanza kusahawu kwasababu,hapa hakuta watu wanaongeya swahili sanifu....
Jun 15, 2007
3:30 AM

Posted by Pris Uwase

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

Titi! wakenya kiswahili twakijuwa isopokuwa wengi wetu tume hathiriwa na lugha za mama. Kishwahili chetu kinatafauti kidogo na chenyu wa Tanzania kwa upande wa matamshi.
Jun 22, 2007
3:58 AM

Posted by PHILLY ODERA

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

Niaje kutukabisha hivyo, live live?
Jul 6, 2007
8:43 PM

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

Mambombona ukanitusi mimi Mnairobi kiasi hicho?Itakuwaje hatukijui mradi huko tunafundishwa shuleni na pia lugha ya taifa?Labda unaiita kuwa na lahaja ama kiimbo kingine kutojua...Tafadhali fafanua!!!!Na usitukere bibiye.
Jul 8, 2007
4:27 AM

Posted by nawaz james

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

hehehehehehehehehehhehehehehehe!!! nyie watu mnaongea funny swahili.. mnanifanya mie nionekane kama mtu anayejua sana kiswahili sababu kiswahili mnachokiongea nyie kinachekesha... LOL.. please twendeni wote bongo tukajifunze kiswahili bora.. mie naenda december.. titi utakuwa mwalimu wangu?
Jul 11, 2007
12:36 AM

Posted by sifa hyera

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

Ah,Ah,Ah.Usitutukane bure. Ati kina nani hawajui kiswahili? Labda wale ulowasikia ndo hawakijui,lakini si sote. Ka ni hivyo, basi hata nyinyi mna wenzenu wasiokijua. Nafkiri heri useme lahaja ndio hazifanani.
Labda nyie mje Kenya tuwafundishe Kiswahili chetu ama waonaje?
Jul 24, 2007
3:53 AM

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

Wewe Titi!! Unataka ku fungua shule ya Kiswahili ama nini? Mbona una dharau watu wa kenya? Wacha wa ongee Kiswahili ilio vunjika wewe na mimi wote tuna elewa wana sema nini. Powa mezea heshimu.
Jul 30, 2007
10:30 PM

Posted by smooth victor

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

Hapa TZ tunamjadala mkubwa kuhusu lugha. Ni kweli tunaongea sana kiswahili. Kiswahili kimeenea karibu Tanzania nzima. Ni kama vile TZ hakuna language barrier. Lakini tunapata taabu sana na kiingereza. Inapokuja suala la mawasiliano ya kimataifa tunakwama. Wenzetu wakenya na Uganda hawana tatizo hili, wanaongea kiingereza vizuri zaidi kuliko sisi. Tunataka eti kufanya kiswahili kutumike mashuleni na vyuo vikuu lakini kiswahili ni shallow sana. hakina technical terms za kutosha. tunataka ufahari wa kuwa na lugha yetu lakini ukweli ni kwamba lugha yetu bado ni kimeo inatuletea matatizo zaidi kuliko mafanikio. Ndo maana tunaogopa kuwakaribisha wakenya eti watachukua ajira zetu maana wao waongea kizungu ati!
Jul 31, 2007
12:33 AM

Note: To add an image or link in your message, use  or Text

Title
body

Purchase additional coins

You need an additional: hi5 Coins hi5 Coins

Get Coins No Thanks